Team xoo
Nanana najua si rahisi lakini itajipa Tulianza kuchai marea kitita Tukakua wahuni within time Tukajifunza kabaridi ndole mbili kuzichuna Tukaanza kuzichukia juu ya mbege cha nyai kimangoto kuzimura Ni wangapi wamebaki Ni wangapi wamenyuria Na bdo tuna inzagi mra after 2 kuwazika ati mwenye amebaki ni keysmart rip fallen soldiers wao ndio utufungulia njia juu kila msee akiingia kwa hii life yy ukua ametia nia ameshahadia ju anytime anaeza ishia nilipatch ghetto bila msee kujua sai wasee wanashindwa nlienda piwa mi naficha white ka maziwa Sa ile umeishiwa real friends ukua fewer kila hatua dua kila jua kila mvua mi najituma nikijua itakua niko sure Kabariang Baharia mi uroll na mashua Mi ni msapere waria naeza kugeuzia nikuache bila mkia Ka ni ndom mi uroll sa ya baridi na ni vitu pure Told bro we broke not poor Porvety ni mindet ya mdwanzi hawajajua Tukitaka kua rich tunaeza kua Team xoo si apan tambua Izo ndula ka ni mbiach utavua Anauliza uku kwenu kunakuaga safe leo ndo utajua Uku kwetu kunakuaga very safe kukikuwa na jua
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯