cold night
0:00
0:00
Moyo cold, lakini bado napumua Nimepoteza mengi lakini bado nasonga mbele Usiku mrefu na mawazo zinanizunguka Nacheka nje lakini ndani nimechoka Nilipenda sana mpaka nikajisahau Niliamini watu mpaka moyo ukavunjika Mtaa ilinifunza kubeba mzigo kimya Hakuna alijua vile nilikuwa nalia Niko solo na safari yangu Natafuta mwanga katikati ya giza langu Kila scar ina story yake Kila tear ilijenga nguvu yangu Walisema nitafeli, sasa naota juu Nimepitia moto lakini bado niko true Sina chuki, nimeacha yaliyopita Ninatafuta peace, sio drama za dunia Mama alisema usikate tamaa Hata mvua ikinyesha jua itarudi tena Niko na ndoto ndani ya moyo Siku moja nitafika pale nilipopanga 😭
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
Dig it 👏