swazzy gee _-_gaza street_-_wana army

0:00
0:00
swazzy gee _-_gaza street_-_wana army

wee nigga skia mmenipa beat kwakunikera, hamkujuwa nitaflow mlicho panga sicho tena, mlidhani kwangu kwangu eti sitoweza tena, mnigga sikatai me n mwana street ukijileta vibaya anga zangu nitakukill nikiwa maskani utanikuta nimeciz kwetu kwetu twajiweza sii n wanagaza ukileta zakuleta weeh fala tuna kugaza sisi sio mecanca ila twatembea na maspana usinichore mnigga kwakuniotea jela life tunayo piga sasa nia kisela amini usiamini gee polici n masela ukijitia mwamba kwangu nakuchana mnigga ukizengua tunakutunisha ata kama bado zako hazijafika mii sikufichi ahera utatimba nakwambia haya sio kwamba nakutisha kwenye bichi letu hatupendagi watu mbiza utaona kwetu kwetu haraka twakukimbisha wana kama wana gaza in the wild nikute twapambana n wana utakubali usichukulie poa mnigga zetu hazifanani sisi ni watu badi gaza from mtaani hatukufichi nigga sisi n wana army mnigga ukizenguwa tuna kupa hio kali×2 hatupagawi n madera twakesha kusaka money si hatupangiwi kwetu free kwako kali unajiita dume wakati huchapi kazi kwako kwangu ndio lugha yetu mtaani mnigga hunitishi kwa kulitoa zuna weeh n mwanasiti nikikuchoresha unatuna kwetu namba chafu ukiskia huta kuja uweeh n mwana feck ndio wakakuita fatuma sisi watu badi gaza from mtaani hatukufichi nigga sisi n wana army mnigga ukizenguwa tuna kupa kali free

1 Comments

Leave a comment

Author
5 months ago

See track description

User avatar
49
Total plays
7
Followers
1
Following

You may also like