mapenzi

0:00
0:00
mapenzi

. flyzoh simpler ni kupeta gang wacha nikuite wangu wa moyo maana nakupenda mpaka napatwa na choyo hivi ulisoma ile story ya world otoyo navile unamaintain yani nikama toyo ntasafiri inchi zote nimalize na tokyo ntakupa mapenzi usahau ulikotoka me ni driver na gari sitoikokota naamini jasho langu nasio cha kuokota we ni halali yangu hata nikilala nakuota siunajua hali ngumu ila hatuezi sota nipe uvumilivu nijione ninanyotta wee ni mtende na jangwani umeshaota huba ng,ari ng,ari tunavyo endana nikama ndege na kiota navile nakupenda hata ukiangusha mi naokota penda Sanaa ...... mtoto wa mama jirani itamuuma sana penda sana .....hivi ni mdigo ama ni mduruma maana hata mswahili hapa anakula chuma baby utangoja coz sina fea ya kutuma vitu zangu nafanya bila ya kusukumwa take it easy kabla haija kuumaa never be a fool mwenzako najituma kuzisaka kesho nije nile na umma sikuhizi wazazi waliacha. hata kunituma. .. unasiri gani akilini mwako ...maana nakufata kila uendako naniko makini nisije kupoteza nyayo zako

1 Comments

Leave a comment

Author
6 months ago

See track description

1
User avatar
116
Total plays
14
Followers
12
Following

You may also like