WE ALREADY UP (14:43)

0:00
0:00
WE ALREADY UP (14:43)

Wanadamu utawapa vyote,ila watataka yako ndo moyo wako uchokee,watokee pia na yakoo I can not love you allllll So hate me when you feel like My dream is still onnn And everyday I'll grind. to the top, wanabelong kwa mastructure na wanafura ears wakiblock career yangu ati ndo watafura hia guess who is here na mtakaskizia walichokoza nyuki wakutambua hakuna cha kusieze here baada hizo punches ulikaskizia hadi dem yako akageuka kua tu siz here ndevu mingi lakini ashakam na manjege skia unaeza guess uoga ndo ilimwingia usiwai leta za kimwere ,si kawa kuchokoza mbogi nilichokozwa bana na nilikua nimetulia mara that mawaidha wakaanza nipatia,nikawashow mi si gangster,but mi ni star kwa hii gang,,,mi ni gang Minister

1 Comments

Leave a comment

Author
6 months ago

See track description

User avatar
2.63k
Total plays
492
Followers
1
Following

You may also like