I used to think about all my friends
I used to think about all my friends and all the shit they have been through but turns out we are the same coz hadi mimi kuna shit nime go through every time najianalia kwa mirror nasema one day nitakuwa meaningfull and maybe some wataanza kunrespect coz niligundua nachukuliwa ka fool mafriends wanacrack majokes ndio huyo mimi nalaugh along but deep down najua nafall off nasiezi toka junisha hop on ishafika siezi hepa itabidi niende nayo on my on hoping one day nitaziacha nyuma alfu mimi mwenyewe ni move on sir godi pick up the phone najua atujabonga hivi for long but leo imebidi ni call manze niforgive nikiburi kidogo sai najua that I was wrong ulikuwa unajaribu kunisaidia all along every time unajaribu kunicall lakini mimi mwenyewe na hung up the phone nikona hopes na hizo hopes ni struggles nineshikana na issues siezi handle kungangana lakini unarushwa kando ndio wengine sa uanza kuji struggle 1 wakidhania hiyo pain itaachana nao turns out inawafuata waendapo
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
Slatt 💯