Grain (16:50)
Mpenzi usinune nune okiona nakupenda sana hii mapenzi unajua ni yako siya mwingine mamaa moyo wako nataka niulindee nisije kuchianbalaa nguo ya mpenzi tushone jua mchana inachoma nikitafuta kakitu mamaa na biz sitaja kagoma tutakulanga nini usiku nikipitia ile kona mi hujikutaga solo mamaa dua mi huomba chochote kisije fanyika mtoi wangu ataja nihata sanaa my wify utakua na huzuni sana mpenzi usinune nune okiona nakupenda sana hii mapenzi si unajua ni yako si ya mwingine mamaa moyo wako nataka niulinde nisije kakuachia balaa nguo ya mapenzi tushone shika hii punch ubuy ,nyama ,katomato na royco change utakeep mamaa lakini shkia mtoi kalolo nadai hako ka smile,nadai hio hug my baibe,nadai peace of mind,najua tutaomoka my laydee
You may also like

Leave a comment
See track description ↑