ringa
0:00
0:00
ati unaringa sana eeh juu hatuwezi fanana eeh nariga sana juu mi ni mhandy bana eeh naringa sana juu luku hatuwezi fanana eeh naringa sana juu niko na mrembo sana eeh naringa sana juu niko na wawili sasa ati uranga sana eeh naringa sana ringa pia tushindane eeh naringa sana sijawekwa na mzazi eeh naringa sana juu ulinibeba ndogo eeh naringa sana na ntazidi kukupa kisogo juu sioni tofauti ya wewe na Kasongo ati unaringa sana,mbona nsiringe sasa ati unaringa sana,pepeka huko siasa ati unaringa sana ,utaanguka vibaya ,sitaangukia kwako
You may also like

Leave a comment
See track description ↑