tt
0:00
0:00
mwambie aanze kimbia awezi kunifikia speed ni hundred mitas bana hawezi karibia mwambie penye njia niliokotanga nia mwambie asitarajie hapa atatoka nill mwambie kitaeleweka ajipange kunill juu world ikiwaa mode itamshow touch your knee itamjenga karatasi,itamjenga kandarasi,ubaki kua mfuasi ,uishi na magari,ukimbilie mahary,ukimbie kumarry ,hapo ndo utajua bana gari haiyuko kwa parking,,uanze juta sana sikua paaa kiiing uache yako culture,ukue another creature ,uone mbele mwangaza ,kumbe nyuma we ndo giza,mchanga unalambishwa 6fit unaigishwa na unasaulika
You may also like

Leave a comment
See track description ↑