Vipi wewe

0:00
0:00
Vipi wewe

Ewe mwenye cheo,bwana waudhia Vipi utetavyo,Anza kunitia Niliapo leo,wewe furahia Furahi na ucheeke.. Furahi na ucheeke mwenzio n lia Nyute zinitoke,zikininginia Iko siku yake ndugu Utanikimbia siku yangubado,haijafikia Jipodoe podo nakuniringia Naja kula dodo,wanikodolea watu wa mtani wote wanishangilia wewe keti pembeni nakunipangia Utadhani mengi,nakuhadithia Yasiiyo namsingi utajibunia Shikafue Wao,hutanitishia Leo ungeshiba nakunisifia Mashaka yako huba,huba imekuingi Nimingi misiiba katika dunia Nimingi misiba kaka katika dunia Mashaka yote kwangu,yalonijia Hata kaamaniuchungu nitavumilia Daima kama mliimwengu yaja kufikkia lakini panaapo njia daima pananjia.

1 Comments

Leave a comment

Author
1 year ago

See track description

User avatar
391
Total plays
19
Followers
3
Following

You may also like