Nashukuru mungu
Fanya kazi wewe fanya kazi wewe fanyakazi wewe kwabidii kwabidii kwabidii. Kwasababu ukifanya kazi kazi kwabidii wafukuza umasikini . Mimi KJK nafanya kazi kazi kwabidii nisave pesa pesa kwasababu nikisave pesa pesa ndio ndio navuta utajiri. Mungu mungu Nashukuru mimi Nashukuru mimi kwa nema zako na baraka zako zako.mimi ninakazi ninakazi yanilisha mimi na family yangu yangu . Wewe kilasiku eka eka matumaini kwa yesu . Yesu yesu ndie njia yauzima na milee pekeake pekeake. Yesu yesu ndie mungu wewe. Mimi kilasiku ninaomba mungu mungu aondoe matatizo yangu yangu. Mimi Nashukuru mungu mungu ninakula ninashiba kilasiku baby. Asante sana mungu mungu kwa nema zako zako na baraka zako zako. Omba mungu omba mungu aondoe matatizo yako yako . Afungue njia zako zako na uzima wako wako. Nina raha nina raha Mimi Nina raha nawe mapenzi wangu wangu.
You may also like

Leave a comment
See track description β
Respect π€π€ Bars: Perfect π― Delivery: Perfect π― Impression: Perfect π―
Strong Bars πͺ ATE π Bomb π£ Bars: Perfect π― Delivery: Perfect π― Impression: Perfect π―