Felo$..mayuro..🥶🥶
f.e.l.o.,,Felo,, mi nadai mayuro , team leader wanajua niko 254 ni maskendo boy, nimejitafuta kusaka doo, sai tunaroll na mazigi more fuka tifu juu niko low. sheng ni sela ni ya razo boy×2) fefe mi nadai mayuro,, meme make shure aukohoii 24 nimechill na maboy .W.F.S. wanajoin try kunicheck home uninngoi,, kiskia niko full na maroy, try me get done na matoy,, team ni safi ukiniona go unadai kucheza na yangu doo,, kauna riski kauze roho sai unanijua kisa tu ya doo,, fuck u bich you better go yooh skia ukiniona unashika tama unalia mi najitafuta kwa mama mia na deily nasaka kila njia felo ukiniona unikosi na bia tukomacho niga no kusinzia vitu ni vyangu kutinga lipia lazima unathink far fikiria hi helo analia skia skia pande zetu mia mia skia 24 na mabear
You may also like

Leave a comment
See track description ↑