freestyle in mbezi....Zaya.tweezy273ftgumbo_rapper

0:00
0:00
freestyle in mbezi....Zaya.tweezy273ftgumbo_rapper

MBZ mbezi icon juu ya hewa, tunafosi hard,ndo mana tu hela x2 ooh give me a break,nigga khusu mapesa sio issue nigga, tunapush bike bila kuchoka nigga, i got my license me napush ndinga, kuhusu mapenzi sio shida zangu i fuck bitches kutuliza kichwa nigga,,,,,,, nawaza me lini ntashinda ni yeye mbweto magar na ndinga nawaza postive siwazi maujinga, kama khedira kiungo uwakika pasi zinafika uwanjani my nigga ni nani anabisha kwamba stafika maisha ya kudance yanasonga ila huu mziki kama unanipa wakika nani anabisha nani anatisha its zayaa against ,zaya ndo mana napata uwakika ndo na hakikisha MBZ nafosi mi nipate zingine, niwe kama copro niwapige vitasa wazime, kama sadali kidari pinch ndogo ndo uspime duke dree nipe mjani toffa atoe kingine ili ni flow mi stari mingine kipi ni kipi katona ndo chale uspime ye mbez icon level nyingine MBZ naflo A,Z unataka lifti naelekea mbezi dogo achauwi utapita lefti zaka sadaka kupata kukosa siyomakosa kwa alla kuprey bila kukosa Nini unataka jala maranda kwasasa wanataka niwapemadata uchafu wote uwende basata tan tan rara adinaona raha tunapata mlo kwamama fura kushi kwa kushi kwa king 👑 kush tunawasha kush masela na wapa newz newz juu ya newz pesa juu ya kush nabaki navuta kush kush

1 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

See track description

1
User avatar
75
Total plays
10
Followers
7
Following

You may also like