Real flick - I put a 100 on her Hip

0:00
0:00
Real flick - I put a 100 on her Hip

Shawty yuko sawa nabaki napagawa Jinsi alivo fly utadhani ana Mabawa Mwenzenu sijifai yani siko sawa Shawty hanikatai mi namhonga twende sawa Yani ukimuona anavoshake Napoteza faham mi mwenzenu nina blek Ku-Spin anavospin bila break Nailipia cash leo haina cha cheque Check anavo cheki anavoshake Why Lie naona earthquake Nina kama laki Hamsini Toto la mjini N'shalihonga Lak' naliingia Mwilini

1 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

See track description

User avatar
6.76k
Total plays
911
Followers
16
Following

You may also like