Bar Vibes

0:00
0:00
Bar Vibes

nkiingia bar kila demu anadata na MAPOZI kila mtu ananiangalia kwa jicho ya UCHOKOZI sasa wanaogopaga wana madem zao nnavo wafanyia MAUTOZI sasa vile ninavo kwara madem mpaka masponsa WANAVOTOA MACHOZI ukitaka iga nenda darasani utanikuta mwalimu vile ntakavo kupa MAKOZI nkiingia bar huwa staki kugombaniwa na CHAWA nyuma wana hakuna baunsa gusa uone unavo PAGAWA ukitukuta tunakunywa mitungi nyagi tikichanganya na SHAKA kuna mwana anaitwa kufa yy vdogo hataki anataka BAPA ukitaka kumbeba we mnyweshe beer huyo mwana anaitwa RAMA sigara sio kamba sasa ya nini TUVUTE ukitaka kwona unyama wewe mitungi Tu ndo UTUPE naipendaga mi valuer mi nyagi ndo ni IGIDE ikifika weekend tupendeze tujipange ili ndo TUTOKE kuna baar tumeingia nakila tunapo ingia lazima watu ndo WATUCHOKE nani hapendi kuinywa MITUNGI kama unaipenda tanguliza kizisaka SHILINGI jtatu beach Jpil KIDIMBWI sas tunova inywa huwa hatutafuti USHINDI sas tafuta ushindi uone utakavo fanywa PIMBI kuna wana wakiinywa zinakimbilia CHINI ukiingia baa uspende kuleta SHOBO kuna wahun tuna tembea na KOPO ni mafuta utakuja kufanywa CHOKO kama unaela za mawazo enda .twara ulime KOROSHO hatuijui kesho yetu anaijua MUNGU tukikaa ni zinatembea mpaka wana data wa ZUNGU hatuna mimba lakini tunaskia UCHUNGU kama nina kiu naenda vunja kibubu

2 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

See track description

9 days ago

Love ❤️‍🔥

User avatar
1.38k
Total plays
58
Followers
32
Following

You may also like