mimi tosha

0:00
0:00
mimi tosha

nagather pple na voice utadhani nakusanya revenew, nilivyokusanya madeim utadhani mi ndio boss kwenye hii venue, usmind buda bila shaka cha tumbo ubeba cha kichwa, si chiriku wala kujidai mi uwafikisha, waulize b4 wakupe jibu mkabala macho watafikicha, hakuna mbichi wala mbivu watasema wazi hakuna kujificha, tiki taka nikitaka napewa hakuna cha kichaka, wametrace zangu blessings wanajua nakwenda far, instings mwanangu hawasepi wako nami mpka tukate rufaa, hakuna cha nguvu hapa ni akili jamaa, hadi magwiji na maadui wananipangia njama, eti wanawivu navyowasomesha namba, imekua sadfa na matarajio yao walidhani watatamba, bado mi ndo blanda cha ajabu wananita kamanda, silali kwa kitanda kenyattta niko chini kujitapaza kisalamanda, huna idhini kunigangua usipokua mganga, uwezi ukapangua kile mungu alichopanga

2 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

See track description

1
User avatar
203
Total plays
7
Followers
1
Following

You may also like