mtaa ulikuwa safi ..kabla hajaja yeye
mtaa ulikuwa safi ..kabla hajaja yeye vifaranga vilikuw salama.. kabla hajaingiy mwewe na mtaa uliingiy dosari ..alipovamia yeye alifukuzw toka pemba.. kwa tabiy zake mbaya mazuri alikuwa anayo.. ila mengi ni mabaya sura yake ilikuw nzuri ..ila tabia ndio mbaya wanawe walimpenda sana ..ila yye sio mwana alikuwa na tabia ya wizi ..na alipenda kichiz ila kwakua aliku bush ....alianza na kuiba ndizi watu hawakumjua kma yye ..hadi walipo anza kupotea mbuzi .. na baada ya kujulikana..wana kijiji wali mkana hii tabia acha bana hii tabia mbaya sana aliona haya sana na kuamua kuhama alikuja zanzibar bila yakuwa ni hatari kwakuwa sura yake ni yaupole ..alimpata mshakaji anaitwa lele ..lele lele lele lele ..yeye kutwa makelele ile nguo ulokuwa unaona ukiivaa inaktuo ndo nguo ambayo ukiianika dogo anahisi atatoboa
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
I love your song follow me let collab and make a new song
needs improvement but keep grinding 💪 💯
Now that's what we're talking about @canaboy, Nice job on your first track 'mtaa ulikuwa safi ..kabla hajaja yeye '! 1. Recording quality matters fam! Make sure you don't let your excitement cloud your judgement! Release your tracks when they ready! 🤟 2. Some eye-catching cover art can draw new people to your music! 🎇 3. Using headphones can drastically improve the quality of your track, try using them next time to give your track that extra boost! 🎧 4. We have a bunch of options to really add to your track, try using some effects on your vocals next time! 5. Defo try out our denoise feature to minimize any background noise on your track! 🤫 6. Get immediate feedback on your track with Judge 4 Judge! You and another user simultaneously provide feedback for each other's track, helping you to level up on your next drop! 💥 It was great listening to your track, we hope to see a lot more of you in the future, please feel free to share some more tracks with us! 🙌 All the best, The Rap Fame team 😎