yong thum
0:00
0:00
haha aya mapenzi ushenzi . usitake nifanye ushenzi ukitaka league . nakupeleka laliga mashauzi uzushi upuuzi . mtoto punguza makuzi umekulia ukulian kumbe ni mtoto wa mbuge tulia unapenda michezo hatari bila kujua hatari ogopa vijana machahali maana ili jiji ni hatari unaweza kuuzwa kama bidhaa kali chunga mtoto hatari kumbuka kusali muombe mola kwa hali na mali punguza maneno makali . usije ukakooa bikali mtoto mtukutu hatariiiii . sikuizi vijana wanapenda shali bila kujua kuna hatari matokeo yake wanakutana na vifo vikali mimi ndio yule kijana hatari nilie kuja na mistari mikali isiyo kua na kichwa cha habari hahaha usibishane na kivuli chako
You may also like

Leave a comment
See track description ↑