Ken lee ft Mbasha future

0:00
0:00
Ken lee ft Mbasha future

Rest and peace 1.Kifo bhan ni kitu cha ajabu 2.some time kinafanya mambo 3.uwezi ata ukaesabu Na 4.wenda ikawa ndo sababu ‎ yeah! ‎kwenye familia yetu tulizaliwa ‎ tukiwa ‎ 6 ‎ lakin ‎Bado mungu akusita kutupunguza ‎ ‎1.alimchua Kaka ‎2.akamchukua dada ‎akujali lawama yani ‎mungu anapotaka ‎anamua kufanya bhan ‎1.Anaweza akamchukua mke ‎ wako ‎wakalbu. ‎ na ‎anaweza akaondoka na mtoto wako ‎ wa ‎maumivu ‎2.wenda ukawa unakizazi ‎3.Amebaki ‎ one the soja ‎Mungu achagui WA kumchukua ‎mung achaguwi ‎ wal!!! ‎Ajabagua ‎1.Mungu anachakua kila Yule ‎ anae mjua!! ‎Ameweza kumchukua magufuli japo kwany nchi alikua anasumbua ‎ na sasa imebaki kua ‎ histolia ‎kifo kina mambo mengi ya ajabu ‎mngne uwezi ata ukasebu ‎kifo mambo yake uwez ata ukasebu ‎kifo kinanichanganya ‎kifo kinaleta lawama ‎kifo kimemuondosha ad ‎ mama ‎sema ndo sina chakufanya ‎naishia kulia tyu mana! ‎(Rest and peace atutaonanaa)%² ‎1.Atutaonan tena ‎ yaani ‎2.yaani atutaonana kabsi ‎3.kinachonisikitisha ntakuona ‎ tyu ‎kwenye picha ‎4.Atutaonana tena mana siwezi ata ‎ kukushika ‎5.Atutaonana tena ata ‎ukiongea utaskika ‎6.Me nilikupenda tyu mwanasesele wangu ‎7.nilipenda kulala kitanda kimoja ‎ na were! ‎ukanitengea maji ninawe nile ‎8. mbna nilikupenda mtoto ‎ wenda ‎ndosababu ya kilio changu ‎1.Nashindwa kuzungumza kigugumiz ‎9.gazabu me mchizi ‎nishapoteza limbikizi ‎ LA ‎machizi ‎Nikifikilia nakosa usingizi ‎ wewe ‎ulikuepo na mimi iiii ‎(rest and peace atutaonana) %2

2 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

See track description

Amazing 💎

User avatar
42
Total plays
13
Followers
1
Following

You may also like