asante mungu kwa kunileta diniani.
0:00
0:00
asante mungu kwa kunileta diniani. naamini hauna makosa kwa mgongo wake kanibeba nasasa mjini nimezamia chaka la wahuni, wastaarabu, ila nadhani meli nilochagua kuipanda ndo inazama, mjomba alitoboa nikaamini ilimasoni, kumbe shetani aliniyeka akili nakunifanya mjakazi wake sasa nimekua kutoboa kwangu nimetoboa kudaiwa madeni nyumbani mama anasongombika mzigo wa kuni kichwani upande wapili wanaomjua mungu na wasio mjua mungu,, msoto wa zege dunia kua uyaone nasasa sina neno saliute for my mother ah😢😢😢
You may also like

Leave a comment
See track description ↑