murembo pochi imeibiwa

0:00
0:00
murembo pochi imeibiwa

Unanini unanini murembo unanini mbone mbone unalia. Nimurembo yuko yuko hapa kwa store gas station Alia alia .mimi bidi bidi muulize murembo akasema pochi yake imeibiwa ndio mana analia. Mimi bidi bidi msaidie na pesa aeke mafuta yagari yake yake. Hapo hapo Mimi kaitisha namba yake ya simu akanipa . Kesho yako mimi piga piga mijisimu kujulia hali yake murembo akajibu cmu cmu akafurahi kwasababu nimepiga cmu cmu. Mimi kamwambia ninataka kuchukue date date murembo akakubali. Kesho mimi na yeye tukaenda kula kula restaurant . Nimurembo akafurahi kwasababu mpeleka restaurant tukakula tukaenda movie movie Mimi kamwambia tuesote maishani murembo kubalia Mimi. Hivi sasa niko niko na bibi ndani ndani yanyumba. Hivi sasa twapendana twapendana KJK KJK tarajia watoto wangu wangu. Yeah. Ni baraka ni baraka kua kua na bibi ndani ndani yanyumba.

3 Comments

Leave a comment

Author
3 years ago

See track description

3 years ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

3 years ago

WAKE EM UP 🗣️🔊 Сold af 🥶 Сold af 🥶 Сold af 🥶 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

User avatar
26.43k
Total plays
889
Followers
954
Following

You may also like