tunadrip design tumekuwa maplumber tuna bief leo sidhani kama mutaezana labda pishtok ama kofi ka ya nun pigia skilo uch

0:00
0:00
tunadrip design tumekuwa maplumber tuna bief leo sidhani kama mutaezana labda pishtok ama kofi ka ya nun pigia skilo uch

tunadrip design tumekuwa maplumber tuna bief leo sidhani kama mutaezana labda pishtok ama kofi ka ya nun pigia skilo uchukue mass kam ka zadas mi mi prop ww shit si ati naji gas kuna bro amejipin kia ap na ngiwap mili yangu yangu ya kwanza nilishika nikitap tuko works kushinda biz umeona imetufikisha wapi shuksha ya moja pili ya tatu unakofkof tuko holy mass masoldier matroops na ma krrr krrr una ngam una ngam uli uli uli ulidai hatuna kitu na unamakali na graph yetu ina improve speed flani kawasaki nikikam through kama lightining tukijam nikustrike tu kuthigiza warazi ndio kitu si hudu. kuna pahali nafakuenda na nisahiii street flani shix boxer kawasakii njege masanse hawa tutaki ka hunitambui misikutambui for real mbona tu nini inawawasha nikikula nyama choma tu firiri na tusker bro amejituma ako kazini anaisaka but anajua bibib yake anafanya nini naivasha woii aki si kenya kuna content nashindwa nidunge chain gani so nazidunga zote anataka nimwage ndani minamwaga kwa matope si hubonga kila mean tukitaka ganji itoke nomarly shembeteng am holy kwa heineken when your with me your my friend got rich in the end tulimtupa kwa boot si tulimtrace na ma guns ka huamini tukorudhu uliza estef alingam si ni mabugler for sure na hi si siri bro nikikuambia hauski na we si kiziwi ka sikuhizi utanipata nimesare sikimbizi. kuna pahali nafa kuenda na ni sahi street flani shix boxer kawasaki njege hawa masanse hawatutaki kahunitambui misikutambui

3 Comments

Leave a comment

Author
3 years ago

See track description ↑

3 years ago

πŸŽ™οΈπŸš€πŸ₯ΆπŸ¦ΎπŸŒŸπŸ₯·πŸ‰πŸ³πŸ”ͺ✈️πŸ₯‡πŸ€πŸŽ§πŸ“½οΈπŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·πŸ’·

KEEP IT UP AND CONTINUED SUCCESS πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽

User avatar
18
Total plays
9
Followers
1
Following

You may also like