grind mode

0:00
0:00
grind mode

nyota ni nyota akiparara bado anashine akichapa bado anashine kila morio analia kushine but anaku jooh kugrind ahhaa niko on magiz nimenyanya green niko ready kupita na nyi na mpoa wa u akibanja mob analaku pocha tukileft mandoto za kugather madollare tukinywaku champagne champe ni mi kenye unaona ndo unaget kaunafake it till u make it zache chini chorea mbwakni chorea mouthin ka mayardis mandoto za kugather madollare tukinywaku champagne aikuwa dream ya mine kupita na shawrie wa yu huku ni jiji sharin is carin mmeambiwa mara ngapi na hamzaski yooh hii kizazi ni Z literally gen z tuko show zote hatumiss walitake iyo shot wakamiss nilikuwa matot nikiaim iyo shot score ya mine ikarise maskills kibao nikawai jiji usitrust kila guy mambweha wako in disguise utakulwa utemwe utokwe yooh kanairo utageuzwa keroma jooh shake ya dimanga kila top grind grind grind hadi utop riri riri ririma bad gal riri huririrma we ni nani unaringa tunashina natutafika kuomoka ni lazima tunabanja wat ka hatubanji ganji hakuna cha gang broski wa mine ndo g mynor g toka npull up kwa blok nagonya waresh wenyu insane nmekuwa grind day n night ndo nishine always miukuwa fly always miukuwa fine always miukuwa high walai bokinyo manzi wa u asha inzagi ka unamdai try kumwai hii ni big boyz game ka una balls we nitry haa mi ni moto wa kuotea mbali ntakufry ka kingwae we usintry aki walai

1 Comments

Leave a comment

Author
3 years ago

See track description

User avatar
740
Total plays
70
Followers
5
Following

You may also like