aah
0:00
0:00
nifanye kazi kwa jua kaali kwa bidii nyiingi aah aah aah,nipate pesa teele nimpe kama zote,alafu aniache aende kwa mwengine,kisha niwe na stress nijiforce kunywa pombe,hela zangu ziishe,ya nini kuwa kwa mapenzi,heri niwe peke yangu,mapenzi toosha sitaki kupeenda sitaki kuteendwa,
You may also like

Leave a comment
See track description ↑