nasaka
nasaka hela mimi sitaki utani utani wela niko serious naa siko steam,sina time ya love wala kuwest money bila math ila hustle time ,engine ikiwaka sana cool 😎 cool usiwe na wasi tuli tuli alafu ustake 2 taka one muwe 2 tu alone ustake wengi utakufa kufa bro,sina official suits but naamini nitabuy one day,nasaka hela mimi sitaki utani utani wela niko serious na siko steam,sina time ya love wala kuwest monkey bila math ila hustle time,daily nasota paka nachanganyikiwa alafu wewe hutaki kuwa wife kisha unaniitisha rent,mi sifaala jaribu weengine,ngo hunidanganyi hata uongeze shepu mi niko sawa tu,jaribu ufala kwa fala mi ganga tu,nasaka hela mimi sitaki utani utani wela niko serious na siko steam,sina time ya love wala kuwest money bila math ila hustle time.
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
BLESSED 🙏