Town

0:00
0:00
Town

kwenye watoto wazuri ni town kwenye majengo mazuri ni town wanaovimba vizuri ni town hata marich ni wengi huku town ndo man manigah wanasepa vijiji wanakuja kuzisaka chapaa kwa jiji japo wengi wanazan n easy ila wanaishia kwa bahari na breeze kam n vipi jaribu kutry uone mikazo ndo mana watu wengi wanakufa mawazo wanachukulia ka mterezo ila kugumu sio mchezo

1 Comments

Leave a comment

Author
3 years ago

See track description

User avatar
18
Total plays
6
Followers
1
Following

You may also like