munataka niwaleze
0:00
0:00
munataka munataka niwaleze stori yangu,stori yangu ndefuu vipi niwaeleze hii stori,ila naifupisha ndio naifupisha,sibongi sikaushi,nitawambia kama munataka kuwa kama mimi,mwanzo nililewaa paka nikashindwa kujielewa simu nguo zikabebwa nikabaki na bukta,mmmmh mmmmh wahuni wakabeba pesa zangu zote mfukoni,munataka munataka niwaleze stori,stori yangu ndefu vipi niwaeleze hii stori,ila naifupisha ndio naifupisha,kwanza kwanza relationship za siku hizi ni fake kila siku nikufake,walahi kaniweza kanichapa,akili yangu imekomaaa siwezi danganywa tena,heri stingy wa love , Kwa sasa nimechoka nataka kutulia,munataka munataka niwaleze stori,ila naifupisha ndio naifupisha
You may also like

Leave a comment
See track description ↑