extra over
0:00
0:00
Mimi napesa kweli tuko beneti kilasiku nikazi nasitu kwenda kazini hataukinikuta nimetulia nachart sina mabebe labdatu nabeti huwezi niletea dili mbovu naujua uwo uhuni scheki nakima pande zangu ukinikuta Shelia kali heshima kwamkondo wake, naona boys Wengi Sana sikuizi wana wake na wanawake wao kwao ndio wana wake siufii kupitwa Bali kushindwa kabisa no, huu moto ukiniona pishi ni extra over Zaid ya Machi noo, spigi kila dii mipaka imezingatia stakikua Tajiri nataka kufanikiwa, kimfaacho mtu chake apewe acheni izo mishe kila mtu ale kwajasholake na afanyishae kazi alipe kimakubaliano sikuleta janja janja hio inakua hamnamo
You may also like

Leave a comment
See track description ↑