Kabla Rap
Kabla sijaanza Rap kwanza mi nilikuaga Mwizi Kuiba Doo kwenda kucheki Show ya Nyambizi Bouncer akinishow Dogo hauskii Usingizi Dully Syke ndo alikua msanii TZ nilomkubali Nakumbuka nikiingia Club Club ilikua Toyz Ikanibidi nianze Rap Rap na Dope Boyz Mara ngapi nilirukiwa na Mwera kutembea Usiku Na Tero likipigwa Dogo ndo sina Kitu After some years n'kapata show la Kilifi I have 2 say yes nilikua connected na Wifi Juacali wa Calif Pilipili ma Ariff Halaf kulikua na ugali flani Pilipili W.T.F Nyota Ndogo akinicheki lyke Huyu Dogo anakula Halaf twatoka mtaa m'moja but mi nikampotezea Nikacheki round table lyke nini ntaongezea Halaf beer mi sinywi Juice nikajimiminia Afterparty n'kaskia watu wanaenda mkwajuni Halaf' huu uhuni Bora n'rudi Kisauni Kufika Pirates nikadunda Gari linaenda Ukunda Bamburi Beach kumeshona Ma b!tch kila kona Pirates Beach Dj Babz WhatsApp up fella Bouncer alikua ashaanza itisha hela Kumbe Dogo V.I.P ila bado msela Dj Bonez Big Tree Nirudi Jamboree Nikiboeka boeka boeka boeka Nirudi Surfside Ile swimming pool tulichokifanya usiulize Harusiwi mtu kuswim ila steam zipo Izze Warembo swimming costume Na Tembo wengine Ice Cream Halaf nimeparara sjajipaka hata Vaseline Wenyewe wanapendana malover Boy Bandanna Mi nmepiga fake Chain Niko Solo na maintain Skuizi nina Doo mpaka ninamake it rain Halafu huskii hawa ma Wh0re wanajua I'm the man Nina chain kama zote Gold usichoke Nina Gari na Nyumba sivai tena mtumba Ion know how 2 keep calm Mombasa ma Town Ion know how 2 keep calm Mombasa ma City Let's get Down Welcome 2 the Beach side
You may also like

Leave a comment
See track description ↑