nakuwa mpole
Song🎶 pumbu#@$#nakuwa mpole Yeah x2 gang Nyie wanangux2 Siwapingi nakuja wanangu Gangx2 Ehehehe Mimi nachukulia shega 2 x4 Siwezi kubadirika x2 nyie wanangu Ehehehex2 Siwezi kuwakataax2 nyie wanangu sana Gang Basi nieleweni Mwanangu innolenzy nieleweni basi Eka mzigo mezani tufanye biashara Warudixhe wanao nyuma Don't shoot me And niwarudishe wanangu nyuma Don't shoot you Ata distance centimeter 4four Naitaji Mali yangu Kama IPO sehemu Naiyokitu siyo yangu ni Mali ya gang Siwezi kubarika x2 nyie wanangu Ehehehe x2 Siwezi kuwakataa nyie wanangu sana Yeah x2 Majamaa wamepinga nawamekataa Nawameshindwa kunierewa kabisa Napewa rawama na wanangu Wamenichana kweli wewe mieyusho Mali umexhindwa kuicontroo kweli Phiphop wap Mbona bro wako kabla ajafa akuwa ivyo Today umetuchachafya wee Pesa nazo zimefanya niwekamili gado Pesa nazo zime sababisha war Sometimes natamani Niwe hero ama commando suicide Onasasa nishaweka bifuu na mageng Uonevu don't love me Ilanimejikuta naingia kwenye mageng Wamenipiga, waminitesa, the end wakanipiga shaba ndo ukawa end of life Awo ndo mageng
You may also like

Leave a comment
See track description ↑