MONEY (22:28)
0:00
0:00
life lang la mtaa mbona kama lausongo ili life nisha jua la mchongo kuhustle na hasso na vuja damu najasho ila kila day nipo hapo hapo mbilinga mbilinga kwangu me a do care dk2 mbele nisha potea eti kuna siku ina kuja sitaki jua lini napamban kila day ili niwa pige pin wote tuwe juu au nyie mxhuke chini na mitaa ina nilinda kila sehemu uttawala kila kukikucha kwang mm ni misala nikixhika efu5 iyo kwng kubwa ela sipati aman wakipata me nikikosa dunia embu simama kwanza we ume nichosha mbambala mbambala aki mungu zime zidi utwqla wa mama una nixhuxha speed tulizani ndiyo ety kumbe no ili life tunaona kwetu xo bola kufa kuliko watutoe roo
You may also like

Leave a comment
See track description ↑