pengo
0:00
0:00
pengo nakuchana,unakera sana,,,,zako tabia, ni kama za akina mama,,,,ukija darasani maneno mengi unasema,,,,,siku tutakupiga tuje kupata lawama,,,,tunakuvumilia tu cause hatuna namna, ila tukishapandisha utakiona kiama,,,tatakufanya,kama kile cha mwaka jana,waulize form 6 wakukupa mkanda mzima,,, usihisi poa,kwa hivi unavyotuona,mana tukishaungana twashambulia kama homa,,,,, sisi jeshi moja,yani fighters hatunaga uwoga wa kuhifiaga vita,ukimpiga mmoja, utakufa,utakuwa mzoga dakika moja tu kupita,,,,,,,,,
You may also like

Leave a comment
See track description ↑