Kama kawa

0:00
0:00
Kama kawa

nawapa holla machizi, ma nagga wangu conscious, young nsie na makuzi, dangerous disease, riziki haziwekewi oda, so peke ako mwenye shida, si wengine punz kisoda, tunasubir yet mida, subira subira yavuta kher, ngoja yaumiza matumbo, mbele ya mungu njo na zako shar, nakushinda na wako evil, changamoto kwangu kawaida ndo manazichukulia simple, hustle za geto msoto napambana ili ncje kosa diko, walk walk walk away, niga niga i wanna way, boya stay back far away, temple run on subway, kama, kawa, kama kama dawa kama kama kama kawa, kama kama kama dawa na hustle kirasta japo cna rasta let call me rasta man, life changamoto joto msoto kipato bado kiko chini,

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

See track description

User avatar
1.5k
Total plays
175
Followers
108
Following

You may also like