freestyle dakika moja

0:00
0:00
freestyle dakika moja

nikama live ninakuja nibang bang, mahaters wanataka kuchukua game, na sii fala nawaita kwenye ring ring, dada zao tunawaita madem madem, mi napiga kili ninapiga mbili mbili ninashusha viwili vya wana wawili wawili nivute chini nikupe jini wanasema one round tu umeenda chini angalia wote wanakuja kama kupe hata shetani nae pia ni mweupe, wanataka uwe slow ili wakushushe, kaza kaza roho ugaii gai tusembenze, wewe kolo tu unatetema moto ukiwaka kwako unazima snitch umepewa kidogo tu unavimba ndoto yetu sisi sio wachumba ni one day turudi na mjumba namkumbuka xx long ago amenifanya nimekaza koo umenifunza mapenzi ya kariako ubaya ubaya moyo wangu wote chuma madem wengi wao ote matapishi huwezi kuingia bila kilainishi halafu unakuta ni mbaya tena mbishi, hawa huko insta eti hiyo ndio pisi..

2 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

See track description

4 years ago

Bars: On point 🎯 Delivery: On point 🎯 Impression: On point 🎯

User avatar
217
Total plays
35
Followers
4
Following

You may also like