mcpilato

0:00
0:00
mcpilato

nilikua nampenz aliitwaga eliza nilijikuta mxhenz cikuwaijiuliza kamaangeniumiza mbakaleo minalia kwakuniliza eliza nikiyaona mapenz mileo nayakimbia xifanyi tena ushenz makosa kuyaludia namludia mwenyez magoti nampigia tenanazd apia mapenz siwez ludia mpenz wangu atar alikua ananijali. japotulitoka mbali achatuishie kat. nasisemi anifai ilatu arakat. ugomvi mwingi chumban.yekilasikunyumban kusalimia wazaz. mbaya zaid. akitokaganyumban atapita kwashangaz. mara kwamjomba ally.mbakakulud nyumban tayali kakata wik. ayoyote mixijal xemahii imezd nimemkuta chumban nabamdogo xhaban.nguozote nimezan.eliza kalala juu.yakifua cha xhaban. kiukwer inaumasana japo xinachakufanya..ciwez toalawama.pengine kanichoka sana. nachotakiwa kufanya nikuomba maulaana. mkemwema anipatie kuniepushia balaa. nisipo pata mwingine pia niseme ishahall.ila mm na eliza leo tuishie hapa.

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

See track description

User avatar
73
Total plays
12
Followers
1
Following

You may also like