vina frestile

0:00
0:00
vina frestile

hakuna wakumwambia shida zangu japo mungu yendoanajua kila nipigapo hatua asnte mungu kwa pumzi napumua umenijalia busara heshima pia ninawapenda wazazi na wanangu jirani pia kama maandiko ya vitabu usipo nipa uhai nitaiona mbingu??ama nikibaki je nitaiona haki?? kwamana wengi ni wahasi walojitolea kuitokomeza haki sina wasi najua nawagasi kwakuitetea haki!!!! bila wakati nazisema harakati mwanafalisafa nazichafua kalatasi kwa wino sio mate yani nihatar nikisha kosa nafsini najutia mawazo mengi kichwani na umia ninajikaza nasonga na dunia kila mahali pande zote za dunia tambara bovu kwa akili nadekia kwanza nanyata kama simba mnyama pori nikomakin kama mlosty siwezi lost, nikiingia lazima watoke spidy mana wanajua lazima ni maazishi mwamba nimegañda na wala siganduki kwenye hii miki kama mikuki mistari inavyochoma kwanza nashona si muli chana sikuielewa mbona munabana na tobo nishapenya mwamba nakaba na wala sina noma ata una homa apa utapona mana nasoma hizi tense kwa akili vina kama uchina nawaachinja cheki wame china kwenye hii beat mwanang huwezi pima kinakirefu lazima utapotea wewe ni giza na mimi ndio mwanga popote pale mimi lazimantakuumbua acha kujificha wakati nakujua wazazi wako wa lishidwa kukulinda ukakubali kufuzwa na duilnia bilakujua dunia iliumia iko na uchungu na wewe ushapotea ah! eeh mwenyezi mungu asante kwakunilinda na majanga nasema asante sana eeh mwenyezi mungu najua unanipenda ipo siku yangu nami nitakwenda naomba baba tupokee kwa upole mana waja wako sisi ni wanyonge shetani kujaspidi na uovu unazidi niko pared na wakwanza ni wamwisho

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

See track description

User avatar
1.12k
Total plays
54
Followers
87
Following

You may also like