makavel 3

0:00
0:00
makavel 3

maisha ni hatua ambayo tunapitia, sasa mbona imekua wengi wanalia, japo mengi nimepitia ila god ndo anajua, niliishia kuugua nikataka kujiua, japo maaa anajua ipo siku ntatusua, na kwa jinsi navyo kua nazidi kutambua, wengi tunao wajua wanazidi kupungua, mungu baba unajua kuliko navyo jua, kama mimi ni mchanga au kitumbua, mana kwa maisha nayo ishi nazidi kupungua, nipe baraka nyingi nizidi kusumbua, na binadamu wa sasa mbaka watu wanaua, wape upeo wako ipo siku watajua, kwamba haya ni maisha na sio samaki wakuvua,

1 Comments

Leave a comment

Author
4 years ago

See track description

User avatar
48
Total plays
13
Followers
12
Following

You may also like