heshimaaa
0:00
0:00
niliapa nitafanya,kuishangaza dunia. kamwe siachi kufanya,coz nkiacha ntalia. hata wakiuza nywnya,nami nitauza pia coz mtoaji ni mungu,yakwangu naisubiria kamwe siogop majungu,nayo pia yametulea ntabaki tuu kumuabudu,coz yako ni yangu pia eti dogo umelegea, je kazi ngum utaweza? uwezo nilopewa,vingine najiongeza dua zenu naitaji pia,ama kwaakika nitaweza hata pesa ikiw ngumu,me sirudi maskani ntakomaa humu humu,heshima irudi nyumbani japo maisha ni magumu,ntakazia tuu na mjani ila naamini bado ipo mziki upo nasubir uje unipe jiko ila bado nipo na mziki upo kamwe kukuacha we ni mwiko
You may also like

Leave a comment
See track description ↑