smoking
smoking till I smoke yee smoking till I smoke yee smoking tiil a die, nigga watch your life coz am living my life coz am living ma life hakuna wakunipinga tunanyonga na kuwasha popot hadi kwenye ndinga hii kitu inafanya watu wanadinda hii kitu inafanya watoto wanavimba hii kitu imefanya nikapata ndinga kwa hii kitu kwakwel aichi kuvimba nachokiwaza hakifutiki inanifanya niepukane na wanafiki inanifanya niende mbali japo sifiki Inanifanya nione pesa naimilikii inanifanya pia ndoto zangu zitiki hakuna Siri chini ya jua ukiamua kufanya we fanya unachojua ukiamua we amua ata kujiua coz maisha nliyoyapitia nishayachambua kwenye paper ki2 safi wala haina doa ukivuta kichwa panzi inakuondoa Na huwezi jumlisha bila kutoa tunajitoa kwenye kazi so utani na hichi nigga ni kipaji wala sio fani ukishandana ujue unashindana na nani ukishinda,rudisha heshima yako nyumbani na huo ndo mwanzo wa mafanikio Na hii ni news nigga yea tega sikio emb washa ongeza saut yako ya redio
You may also like

Leave a comment
See track description ↑