miky baby boss
miky binti ametulia mi mwenyew nikikaa hua namfikilia sio naongea sion kava lakin nangojea kumtokea huyu dem mdg namnyemelea kumchezea staki kitu ka mshkaki mtoto ka mnyakyu tupotezee mana alivoamia kitaa ki ukwel alikua wakishua ila ule upole sikuweza kumtambua nkaona ntafute kazi labda itanipa kibuli usiku nkajiongezea ufezuli asubuh na makucha yake vizuli nkaziacha ndala chukua laba moja kali shati flani atari miwani flani ghali yani fulu taiz utadhani naenda pwan si nd nikafika camp jina la kampuni nshatuma balua kitamb naenda interview nkatulia kwa chini subila ya umaskini zamu yang ilikua ya mwisho nlisubiri show mle ndani broo nlitamani vile vioo daaa hakuna halufu ya chaw wala mnyooo nkaitwa jina langu Athuman shabani naam mkuu njoo ndani kwa sauti kuuu yani duuuu nkafungua mlango daaaa mjomba nliemuona mule kweli sio bule demu alieamia kitaa ndio boss afu ananijua bitozi kaisi mkosi akantazama akanambia kwa story zako nlizozickia cdhani kama hapa utatulia daa madam mulize hata rukia m nina adabu nakwambia we mwenyew utanambia
You may also like

Leave a comment
See track description ↑