Dreaming

0:00
0:00
Dreaming

popote penye nia lazma kuna njia, huwezi fanikiwa pasi malengo jiwekea endelea pambania kile unachoamini, ukiweka nia hakika utawin kazana jitume mwisho wa cku ufike jkaze kiume majasho we jifute tangaza ufalme wa Mungu sio devil wakitaka wakusukume watakiona kifo believe that, ipo cku utang'aa believe that, utawaka kma taa believe that, utakuwa supastaa tena ambae shujaa, bila mbawa utapaa ipo cku utafika unapotaka, unachotaka utapata unapotaka utakwenda ukitaka gari kuendesha au nyumba, utapata mali na familia kuijenga sio mbaya kufurahi mara moja moja ukipata chance unajichanganya mkipata moja moto na baridi moja msijekusahau michongo kupeana ukikosa pesa isije ikawa sababu, ya kuanza vita na kukosa adabu ukipata pesa usije kuwashau, waliokufikisha usije kuwadharau

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
12.25k
Total plays
862
Followers
214
Following

You may also like