maisha ni yangu

0:00
0:00
maisha ni yangu

bro nani kaa mimi kwa drill joh mi nko solomambo ya genge zii nadai tu kugrow old joh rich trying kumake money for my future wife hakuna kitu poa kama bro a savage lyf na kaa uamini enda bro ulizia na kama watakata bro izia sipendi genge juu ni snitch watataka dem yako bitch hii wimbo sio kubahatisha juu mi sio bahati ati natisha kudai doo ndo lyf sikuizi skuizi lyf na doo ni very easy yooh jo kama una hakuna lako na kama we uko na doo kam utakula taco na madem wanadai tu 2k urgently na magames sikuizi wanapigwa 2nil apparently bro hii lyf ni ngumu but naweza kuwa at your perfection soma bro utafute doo zako maringo yapesa za mzazi wacha mu si lil pump but gucci gang ndo fom ckuizi nashinda bet but still nadai doi more jooh ni kusota sitaki coz rich lyf is the best najua mi ni mkikuyu but usinijudge coz maisha ni yangu we shughulika na yako napenda za kwangu we shughulika na yako

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
21
Total plays
13
Followers
15
Following

You may also like