moto💡

47 Plays

31 Aug 2021

Wananisemaaa ila bado sisemekiiii Na Kweny radar zao nimekuwa sisomekiii Sitopita peku ata wakipiga dekiiii Hawajiamini japo wapooo naimanii Ukinijadiliii subiriaaaa mtihanii Natoboa siriiii mpaka zile za chumbaniii Wao ni wa mungu eti mimi wa shetaniiii Nawawasha nikisepa wame zimaaaaa Kama tezi dume nakidole nawapimaaaaaa Haaaaaah na busara na hekimaaaaa Ukitaka chauvunguni kuinama nilazimaaaa Inasemekana subira ya vuta heriii Ukija huku kwetuuu subiriii wakutapeliii Uongooo umetokana na ukweliii Ushindiiii nilazimaaaa hiyoo haina kufail Nachokifanya kuwajaza tuu Hasiraaaaa Mimi sindo pump halafu wao ni mipiraaaa Bangbang uzingua unakula shabaaaa Nimejiajiri siitaji mkatabaaaaaa Kichwani navitabu utasema maktaba Nilipo kosea nisamehe babaaaaa Japo ulisema kwangu huna msaaadaaa Kipindi nimedata nimekula mpaka adaa Ujana maji ya moto naunguaaaaa Napambana nao sindomana nasumbuaaa Maisha nayo ishi mungu ndoanajuaaaaaa

2 Comments

Leave a comment

This shit Heat 🔥 Homeboy! Inbox me you wanna Versatile Crew #BADCOMPANY

Wananisemaaa ila bado sisemekiiii Na Kweny radar zao nimekuwa sisomekiii Sitopita peku ata wakipiga dekiiii Hawajiamini japo wapooo naimanii Ukinijadiliii subiriaaaa mtihanii Natoboa siriiii mpaka zile za chumbaniii Wao ni wa mungu eti mimi wa shetaniiii Nawawasha nikisepa wame zimaaaaa Kama tezi dume nakidole nawapimaaaaaa Haaaaaah na busara na hekimaaaaa Ukitaka chauvunguni kuinama nilazimaaaa Inasemekana subira ya vuta heriii Ukija huku kwetuuu subiriii wakutapeliii Uongooo umetokana na ukweliii Ushindiiii nilazimaaaa hiyoo haina kufail Nachokifanya kuwajaza tuu Hasiraaaaa Mimi sindo pump halafu wao ni mipiraaaa Bangbang uzingua unakula shabaaaa Nimejiajiri siitaji mkatabaaaaaa Kichwani navitabu utasema maktaba Nilipo kosea nisamehe babaaaaa Japo ulisema kwangu huna msaaadaaa Kipindi nimedata nimekula mpaka adaa Ujana maji ya moto naunguaaaaa Napambana nao sindomana nasumbuaaa Maisha nayo ishi mungu ndoanajuaaaaaa

You may also like