Youth Nation(YNT) freestyle

0:00
0:00
Youth Nation(YNT) freestyle

Sinse nimejoin watu wanachat sanaa, Kma ni mgeni utahisi wanachat kwa kujuana, Ukiwa na vibe ni rahisi kujichanganya, Mdogo mdogo nkaanza kupata wana, Kuna wamba flani ivi simple tu unajuaa, Kuna wengine wakitxt tu unahisi ni wakishua, Pia kuna pisi kali ila zmeuchubua, Wao hawataki kuchati, kazi yao ni kuview tu wanauwa, 7 days a week ratiba imesheheni, vipindi mbalimbali yani ka tupo shuleni, fursa session, Ynt afya' Bila kusahau english session watu hupotea ghafra --------------------verse 2------------------- Shoutout kwa mr focus mwanzilishi wa hii kitu Tunajifunza mengi, na tuna enjoy kila siku, Me sijawahi kuchoka, kuna wazee wa kumoka, Kuna wapenda soka, wengine wapo kuropoka, Kuna pisi kalii sanaa ila ndo zinatutesa, Madokta pia wapo aurelia na vanessa, Kwenye mahusiano, mr revolution ana pindua Shemsuu, madam ellata kwa mapishi tu wanajua, Kuna wapenda umbea, kuna wanaojua kuongea, caittie na pisces sio kma nawaonea, Kina calih, abdol, drizzy, no body but me yah.! Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muunga wa tanzania.

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

1
User avatar
194
Total plays
31
Followers
89
Following

You may also like