kwa vileh

0:00
0:00
kwa vileh

nikiwa kwa vileeh nakula mjani weeh wanangu shazi eeh tungi usiulizeeh sometimes najifill tu kuchill kwawanangu quarantine......... masnitch na wazushi tuna kill we made our own..... maskani mi kauli SHERIA kitaani utamaduni PIA kamwe jiti kuliita miaaah mpe karume akadake nyota voice 2 nikiwa kwa vileeeh nakula mjani weeh wanangu shaz eeh na tungi usiulizeeh nikiwa kwa vileeh nakula mjani weeh wanangu shazi eeh tungi usiulizee...... voice 1: ukitaka fujo weeh kuja kilole kula tule washukeeh sobiboh oyaah weeeh voice 2: oyaaah weeh oyaaah weeh oyaah weeh voice 1 hatuchek na vima tuna chappa ukileta zile zakuletaah matykwondo wushu HAPAAAH hatupend pigo za kidadaah sorry unojiita master am a master toka hapo way back hatulingii uhai nando maana tukizipata twafanya yamaana voice 2 nikiwa kwa sideeh nakula mjani weeh wanangu shazi eeh tungi usiulizeeh nikiwa kwa sideeh nakula mjani weeh wanangu shazi eeh tungi usiulizeeh

1 Comments

Leave a comment

Author
5 years ago

See track description

User avatar
293
Total plays
27
Followers
76
Following

You may also like