love
Nipe mapenzi hunny nifundishe kupenda mummy wakija wenye mabenzi na zao money usibadilishe yako imani mwangu moyoni unaleta amani hii love imevuka border tamu kuliko soda wenye wivu wanakonda wananguruma kama honda sura wamenonda raha twazidi kuponda jaba bado bezz wanachana Wakidai tu tutaachana love yanazidi noga usiku na mchana together let's walk kama mapacha pamoja tujenga strong structure Romeo na Juliet iwe culture kamwee hawakupati ma vulture wakule kwa macho wakiongea tukajenga kule pacho wakujue baba na mama no more lawama tukachukue baraka tuwaandikie waraka waaje karamu hakuna haramu oath tutaisain kwa kalamu niliingoja hii time kwa hamu finally ni yangu zangu zamu wacheni nijibonde kaka usikonde piga moyo konde wee pia utakwea milima na mabonde
You may also like

Leave a comment
See track description ↑