osama

0:00
0:00
osama

Osama ni nani madevu kama nyani mungu kamlani kamtupa bakarani bao mpaka ndani moja mbili tatu naruka tikitaka mademu wanitaka sitaki harufu ya paka mama nipe mia nikalishe familia pamoja na ngamia Niko Tanzania Osama aliingia kaua watu mia mi nikazimia wengine wakaumia wazee tuwaskize

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

See track description

User avatar
18
Total plays
9
Followers
17
Following

You may also like