Hamniwëzi
hahaha hamnniwezi bana kila day ninaomoka. mkija na upuzi,mtajua sipendi drama. ngoma naleta freshi,hakuna mashaka. eti hamna ajenda,kazi ni kushoboka ratatataa nikipanda stejini,jua ni kubaya usiombe idhini,wee shikisha majaba. mkiniona pembeni,ondoeni shaka. mimi ndio kiongozi, hakuna matata. Hamniwezi×3 ntazidi kuwa mayolo hakuna upinzani iyeee!!! sinaga mbogi,form ni usolo. mapaparazi wakizidi,ntawapa misomo. hata mkinishushia hadhi,ntazidi kuwa kiboko. Nina pesa na magari,mimi ni sonko yeah ngoma zangu zinateketea, msilete mazoea, hakuna kushobokea, shule nlianzia chekechea, fungeni midomo,acheni kubonga ovyo. hapa Niko chonjo,sitaki porojo breakfast ni boflo,mchuzi rojorojo sipendi uchoyo,nasambaza upendo msupa akijilegeza,mpeleka na rada mkifika kwa keja,hapo shwari kaka acheni kujichomea picha,kupigania manguna. of coz ni kujifanya,acheni kuwa mafala. hamniwezi×3 ntazidi kuwa mayolo sina upinzani raaa mi nawakilisha, nawaelimisha, nahamasisha, bila shaka naburudisha, hamniwezi×5 wasee Niko papa hapa,mapesa nakusanya. eti mi ni king,mi ni hova,buda acheni kujidanganya. perfection haiji Mara moja,Buda fanyafanya. utulivu jambo la busara,acha kuhanyahanya. uooo mama yuataka nifaulu,ila bado najikaza. nimewakalia kichugu,hakuna kubanduka. tukilipa ushuru,nchi itaomoka tulipata Uhuru,hakuna mateka najua kufeli uchungu,usife moyo endelea. hamniwezi×3 ntazidi kuwa mayolo sina upinzani. kwa rap mi kamanda,ukitry kunipiku hutawezana. mchezo wa kandanda,mi bwana kahata. beki wa kupanda na kushuka,sirudi nyuma tena. Tanzania mpaka Rwanda,ngoma zangu zanoga. mashallah!!! kushindana na chizi ,utajipa kazi ukija rap mi kiongozi, fiesta kuna michuzi. mchezo wa free kiki,napiga michongo ya ndizi. ukienda mombasani,utakuta minazi hamniwezi×3 hahaha vaeni mabarakoa,wasee kuna korona. siri acha kutoboa,usijifanye Yuda mke nimepata was kuoa,mahaba nalishwa. matumizi ya lugha kuna kutohoa,bila shaka tunaainisha. hamniwezi×3 ntazidi kuwa mayolo sina upinzani. rapper huruhuru, toka buruburu, mi mzuluzulu, gizani kuna nduru, hakuna nuru, Mimi sijakataa,ntafika mtaa kuna gizaa,ebu washa taa Buda mi ni Balor,mi si Samata ka wewe ni mkora ,buda nitakukamataa. hamniwezi×3 ntazidi kuwa mayolo sina upinzani
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
check out this track bro salute and BLESSINGS #FOCUSED @mikellove.1
💪🏿💪🏿💪🏿🔥🔥🔥🎧🎙