FORM

8 Plays

05 Oct 2020

_ form_by_ecksflamer. joseh nmefika nimedundaa nawapea rap kidisign ya runda na Hii beat venye inadunda dunda na madem waende chain kama shada nkafunge kwanza kwenye nyumba kuchatisha form ni ya mogoka nawapea rap zangu zimelipuka Kama zero nackia kurukaruka Ata kadogo nlifweka nkauma ju manze yako anakuaga Mali ya umma asha Cheza nayo ile chuma aliitisha na singemnyimanyima piga picha na luku ex atarudi mtext ati arudi chiil atarudi mxhw kitu ni doshi unaezana na mamwoshi gari ni ya mwoshi ushaa kua soshi moshi akushike itoke kwa kitambi afanye itoke ju sina token nataka haraka form ni kutesa form ni mapesa form ni mapaka ju nko form n mangoks ni mabocks na masocks round I nawabengs na staki kuwabeg ju mi nko high na nataka walai ju_ form ni mapaka form ni mapesa form ni mashada form ni kutesa

1 Comments

Leave a comment

4 years ago

You may also like