pesa

0:00
0:00
pesa

Salam Maria mim natekeleza,huku nikidunduliza Maua na chenza, pesa ngumu Kama fedha.huku wengne wanasema zinatengezwa.pesa mbna unanutesa huku wengne mbna wanamuacha muweza,bila huoini meza .chukua hatua kuzitafta feza,wengne eti wanabeza .ndio maana wanaixhia kuwa tu mateja,pambana Kama vile soja ,ili uweze tu kuipata feza,

1 Comments

Leave a comment

Author
6 years ago

See track description

User avatar
20
Total plays
22
Followers
20
Following

You may also like